HabariMilele FmSwahili

Wito watolewa kwa wakenya kujitokeza kuchangisha damu

Wito umetolewa kwa wakenya kujitokeza kuchangisha damu. Katibu mkuu wa chama cha madaktari nchini dkt Ouma Oluga anasema wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakiangamia nchini kutokana na uhaba wa damu. Dkt Oluga amesema hayo katika hafla ya umma kutoa damu inmayondalowa katika ukumbi wa Kicc. Waziri wa utalii Najib Balala ambaye amewataka wakenya kudhihirisha mapenzi yao kupitia kuchangisha damu.

Show More

Related Articles