HabariMilele FmSwahili

Waziri Amina Mohamed asema atahakikisha mageuzi katika sekta ya elimu yanafanikishwa

Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed amesema atahakikisha mageuzi yanayotekelezwa katika sekta ya elimu yanafanikishwa. Akizungumza baada ya kuzuru kituo cha hesabu sayansi na teknolojia cemastea balozi Amina amesema atashirikiana na viongozi katika wizara hiyo kuendeleza mageuzi hayo. Amewataka wafanyikazi katika wizara ya elimu kuongeza juhudi katika kuhakikisha mfumo wa elimu unawafaidi zaidi wanafunzi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.