HabariMilele FmSwahili

Jaji mkuu David Maraga azuru jela la Kodiaga Kisumu

Jaji Mkuu David Maraga amezuru jela la Kodiaga huko Kisumu ambako ametilia mkazo kuwa taasisi hizo hazipaswi kutumiwa kama maeneo ya kuwatesa wafungwa ila kurekebisha tabia. Maraga ameahidi kuhakikisha mahakama inashughulikia kesi zinazowahusu wafungwa akiwataka wafugwa pia kuwa na nidhamu.

Also read:   Lilian Omollo arejea katika gereza la wanawake la Lang'atta
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker