HabariMilele FmSwahili

Mudavadi awapuuzila mbali wanaokashifu uongozi wa chama cha ANC

Kiongozi wa chama cha ANC aliyepia kinara mwenza wa NASA Musalia Mudavadi amewapuzilia mbali baadhi ya viongozi na wanachama wa ANC waliojitokeza leo kukashfu uongozi wa chama hicho. Mudavadai anasema hawatambui mkutano huo na huenda wakachukau hatua za kinidhamu dhidi ya wale waliohusika. Kauli yake inakujia baada ya mkutano wa kunid moja la akina mama na viongozi waliodai hawamtambui Barack Muluka kama katibu wa ANC.

Also read:   Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ajiuzulu
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker