HabariMilele FmSwahili

Kenya yaungana na mataifa mengine kuadhikisha siku ya radio ulimwenguni

Kila tarehe 13 mwezi Februari ulimwengu huadhimisha siku ya redio. Maudhui ya mwaka huu yakiwa redio na michezo lengo likiwa kukuza uwiano na utangamano kupitia michezo tofauti. Na hapa Kenya wanahabari wa redio wamakabiliwa na changamoto si haba ikiwemo usambazaji wa taarifa za uwongo na hata semi za uchochezi.

Show More

Related Articles