HabariMilele FmSwahili

Maafisa 2 wa kaunti ya Kitui washtakiwa kwa tuhuma za kuchochea kuteketezwa lori la makaa

Maafisa wawili wa kaunti ya Kitui wameshtakiwa mahakamani kwa tuhuma za kuchochea kuteketezwa lori la kusafirisha makaa katika eneo la Kanyonyoo. waziri wa mazingira John Makau na afisa wa wizara hiyo David Mbisi wamekanusha mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi nusu milioni.

Show More

Related Articles