HabariMilele FmSwahili

Mhudumu wa Kenya Airways azuliwa kwa kupatikana na kilo 23 za dhahabu India

Maafisa wa usalama nchini India wanamzuilia mhudumu wa shirika la ndege la Kenya Airways kwa madai ya kuingiza nchini shehena ya dhahabu kinyume cha sheria. Inaarifiwa mhudumu huyo kwa jina Abdallah Said alipatikana kilo 23 za dhahabu zenye dhamani ya zaidi ya shilingi milioni 100 jijini Mumbai. Shehena hiyo ni kubwa zaidi kuwahi kunaswa nchini humo

Show More

Related Articles