HabariMilele FmSwahili

Jaji mkuu David Maraga kuzuru kaunti ya Siaya leo

Jaji mkuu David Maraga leo anazuru kaunti ya Siaya katika siku ya pili ya ziara yake eneo la Magharibi. Maraga atakagua shughuli ya ujenzi wa jengo jipya la mahakakma kuu ya Siaya. Ziara yake Siaya inajiri siku moja baada ya jaji mkuu kuzindua ujenzi wa jengo la kisasa la mahakama kuu ya Kakamega utakaogharimu shilingi milioni 388

Show More

Related Articles