HabariMilele FmSwahili

Kamati ya bunge ya uteuzi yaidhinisha watu 9 waliopigwa msasa kuhudumu kama mawaziri

Kamati ya uteuzi ya bunge imewaidhinisha watu 9 waliopigwa amsasa wiki jana kuhudumu kama mawaziri. Ripoti ya kuwaidhinisha 9 hao itawasilishwa bungeni kesho alasiri kabla ya mjadala Jumatano. Tayari wabunge wa NASA wanadai watasusia mjadala wa ripoti hiyo kwani hawatambui ukaguzi uliofanyiwa 9 hao wakiwemo Peter Munya,balozi Ukur Yatanni, Farida Karoney na Margaret Kobia.

Show More

Related Articles