HabariMilele FmSwahili

Zoezi la uteuzi wa makurutu wa idara ya jeshi kuzinduliwa leo kote nchini

Zoezi la kila mwaka la uteuzi wa makurutu wa idara ya jeshi litazinduliwa leo kote nchini. Naibu mkuu wa majeshi Joseph Kasaon amesema zoezi hilo litaendeshwa kwa uwazi. Amewaonya wanaosaka nafasi hizo dhidi ya kushiriki ufisadi. Zoezi hilo la mwezi mzima litakamilika machi 13.

Show More

Related Articles