HabariMilele FmSwahili

Wakili Haron Ndubi kufikishwa mahakamani leo

Wakili Haron Ndubi anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapa jijini asubuhi hii kujibu tuhuma za kuendesha gari akiwa mlevi. Kamanda wa polisi kaunti ya Nairobi Japhet Koome wamedhibitisha kumkamata Ndubi saa tatu kasorobo usiku wa kuamkia leo baada ya kuegesha gari kati kati ya barabara ya Jakaya Kikwete.

Show More

Related Articles