HabariK24 TvSwahiliVideos

Hospitali ya Tenwek missionary yateketea moto

Moto mkubwa umeteketeza hospitali kuu ya kimishionari nchini ya Tenwek katika kaunti ya Bomet usiku wa kuamkia leo.

Wagonjwa walilaimika kukikimbilia usalama wao baada ya moto huo kuzuka mwendo wa sasa nane usiku na kusababisha hasara kubwa.

Viongozi sasa wanaitaka serikali kuu kuwasaidia ili kuhakikisha kuwa shughuli za kawaida  zimerejea hospitalini humo.

Show More

Related Articles