HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Askari 3 wanaswa peupe wakiitisha hongo barabarani,Kajiado

Maafisa wa kukabiliana na ufisadi wa EACC wamewatia mbaroni askari watatu wa trafiki katika barabara ya Kajiado kuelekea Namanga kwa tuhuma za ufisadi.

Watatu hao waliwekewa mtego baada ya lalama kutoka kwa wananchi kuwa wao huitisha hongo.

Kulingana na kamera zilizowanasa maafisa hao hupokea fedha kutoka kwa magari ya uchukuzi wa umma na malori.

Zaidi ya shilingi elfu nne zilipatikana huku ikidaiwa hupata karibu elfu arobaini kutokana na hongo.

Show More

Related Articles