HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kesi ya Wavinya Ndeti kupinga uchaguzi wa Mutua yatupwa nje

Mahakama kuu mjini Machakos imeidhinisha ushindi wa Gavana wa kaunti hiyo Dakta Alfred Mutua kwa kutupilia mbali kesi iliowasilishwa na mpinzani wake mkuu Wavinya Ndeti wa Wiper.
Jaji wa mahakama hiyo Aggrey Muchelule alipinga kesi iliyowasilishwa na Wavinya akisema alishindwa kuwasilisha ushahidi wa kutosha kufutilia mbali ushindi wa Gavana Mutua.

Show More

Related Articles

17 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.