HabariMilele FmSwahili

Baraza la makanisa laelezea wasiwasi kuhusiana na hali ya kisiasa nchini

Baraza la makanisa nchini limeelezea wasiwasi kuhusiana na hali ya kisiasa nchini. Katibu wa baraza hilo kanali Peter Karanja anasema wanasiasa wanaelekeza taifa pabaya kutokana na misimamo yao mikali. Anasema bado kuna masuala ibuka ambayo yanapaswa kuangaziwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ili kumaliza mgogoro ulioko nchini. Baraza hilo limesisitiza haja ya mirgeno yote ya kisiasa kuweka kando tofauti zao na kuandaa mdahalo wa kutoa mwelekeo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.