HabariMilele FmSwahili

Simon Chelugui afika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uteuzi

Waziri mteule katika wizara ya maji na usafi Simon Chelugui anafika mbele ya wabunge wa Jubilee wakati huu kupigwa msasa. Chelugui mzaliwa wa Baringo analenga kuwashawishi wabunge kwamba amefuzu kukabidhiwa wadhfa huo. Chelugui anahojiwa muda mfupi baada ya kamati hiyo kukamilisha ukaguzi wa aliyekua mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko aliyependekezwa kama waziri wa mazingira na misitu.

Show More

Related Articles