HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa gavana Mutua

Mahakama ya Machakos imeidhinisha ushindi wa gavana Dr Alfred Mutua. Jaji Aggrey Muchelule anasema madai ya hongo kwa wapiga kura, wizi wa kura na dosari kwenye karatasi za kura hayana uzito wowote. Jaji Muchelule kadhalika amemuagiza mlalamishi Wavinya Ndeti kulipa shilingi milioni 10 kama gharama ya kesi hiyo. Na akizungumza nje ya mahakama hiyo Mutua, ameahidi kushirikiana na viongozi wote wa Machakos bila ubaguzi.

Show More

Related Articles

Check Also

Close