HabariMilele FmSwahili

Keriako Tobiko apigwa msasa na kamati ya bunge kuhusu uteuzi

Kamati ya uteuzi inaendelea kuwahoji waliopendekezwa kama mawaziri na mabalozi. Leo ni zamu ya Keriako Tobiko aliyependekezwa kuwa waziri wa mazingira na misitu, Simon Chelugui Maji, Ukuru Yattani wa leba na Rashid Achesa wa michezo. Achesa anatarajiwa kukabiliwa na wakat mgumu kufuatia hati kiapo iliyowasilishwa na mkenya mmoja akitilia shaka masomo yake na pia masuala ya maadili. Mwingin ambaye pia anakabiliwa na pingamizi ni Tobiko ambaye yadaiwa hana tajriba ya kushikilia wadhfa wa mazingira.

Show More

Related Articles