HabariPilipili FmPilipili FM News

Wazo La Kuunda Chama Cha Kisiasa Cha Pwani La Ungwa Mkono

Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya ameunga mkono kauli ya gavana wa Kilifi Amason Kingi ya kutaka eneo la pwani kuunda chama chake ifikapo mwaka 2022 akisema kubuniwa kwa chama hicho ni njia moja wapo ya kuwasaidia wapwani kueleza masaibu yao.

Huku hayo yakijiri aliyekuwa mbunge wa Kilifi Kaskazini Gideon Mung’aro amewakosoa viongozi hao kwa kukosa mwelekeo na kuwapotosha wananchi, huku akiongeza kuwa mchakato huo unalenga kuwanufaisha viongozi hao pekee.

Show More

Related Articles