HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Ya Kilifi Ya Ombwa Kubuni Nafasi Zaidi Za AJira Kwa Vijana

Changamoto imetolewa kwa Serikali kuu  na ile ya kaunti  ya kilifi kubuni nafasi za ajira Zaidi ambazo zitawafaidi vijana waliosoma na wale ambao hawana elimu ya kutosha.

Wakaazi huko eneo bunge la Ganze wanadai hali ya maisha ni ngumu na biashara wanazotegemea ni za uchomaji na uuzaji makaa ambazo kwa sasa zinakumbwa na changamoto.

Also read:   Buriani Kwa Mwanahabari Ngumbao.

Maxwel Mwarabu Sanga  anadai kuwa  licha ya serikali kuahidi nafasi za ajira wakati wa kampeni za mwaka wa 2013 hadi sasa wakaazi wengi hawana ajira.

 

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker