HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Charles Muhoro anatumia magurudumu yaliyotupwa kutengeza nyaya

Kila mara, wanamazingira huteta kutokana na tabia ya watu kuchoma magurudumu ya magari, na wengine kutupa magurudumu yaliyotumika ovyoovyo ilhali kuna njia mbadala mbalimbali magurudumu hayo yanaweza kugeuzwa na kutumika upya kama bidhaa tofauti.

Kwa mfano, kuna jamaa kutoka Kirichu kaunti ya Nyeri ambaye amebuni njia mbadala ya kuunda nyaya almaarufu Chain Link anazoziunda kwa mikono yake kutokana nyaya anazozing’oa kwa magurudumu ya magari.

Charles Muhuro anatupambia makala ya leo ya Wasiotambulika kwa mchango wake wa kumaliza uchafuzi wa mazingira kupitia ubunifu wake.

Show More

Related Articles