HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais aongoza sherehe ya kufuzu kwa makurutu wa jeshi kambi ya Moi-Eldoret

Rais Uhuru Kenyatta amewalimbikizia  sifa wanajeshi wa KDF kwa wajibu wanaotekeleza katika ulinzi wa taifa nje ndani.

Akihutubu  hii leo wakati wa kufuzu kwa maelfu ya makurutu wa jeshi katika kambi ya Moi mjini Eldoret, Rais alieleza kwamba wanajeshi hao wamekuwa nguzo kuu katika umoja wa kitaifa kwa kutoa huduma yao bila ubaguzi na kwa kujitolea.

Show More

Related Articles