HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanamume aliyepigiliwa misumari minne kichwani apata nafuu

Mwanamume mmmoja mwenye umri wa  miaka 41 yuko hali mahututi katika hospitali kuu ya Kenyatta baada ya kudungwa misumari minne kichwani kwa nyundo hadi kwenye ubongo kufuatia mzozo kilabuni Tharaka Nithi.

Kijana huyo amepata fahamu hii leo  baada ya kufanyiwa upasuaji na kuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya jumatatu alipoletwa hospitalini humo.

Show More

Related Articles