HabariMilele FmSwahili

Wanjigi asema mawakili wake wanachunguza dhumuni la kuchapishwa tangazo la kifo chake

Mfanyibiashara Jimmy Wanjigi anasema mawakili wake wa humu nchini na kimataifa wanachunguza dhumuni la kuchapishwa tangazo la kifo chake. Akizungumza nje ya afisi za idara ya jinai Wanjigi anasema kwa sasa anachukulia tangazo hilo kama tishio kwa maisha yake. Wanjigi ni mmoja wa wandani wa kinara wa upinzani Raila Odinga na amehusishwa na kiapo chake kejeli.

Show More

Related Articles