HabariMilele FmSwahili

Tume ya utumishi wa umma ilishauriwa kuhusu kubuniwa kwa nafasi za makatibu wakuu katika wizara zote

Tume ya utumishi wa umma ilishauriwa kuhusu kubuniwa kwa nafasi za makatibu wakuu kwenye wizara zote. Mwenyekiti anayeondoka katika tume hiyo ambaye sasa amependekezwa kuhudumu kama waziri wa vijana na jinsia anasema mashauriano ya kina yalifanyika baina ya tume yake na rais Uhuru Kenyatta. Akiongea alipohojiwa na kamati ya bunge kuhusu uteuzi,profesa Kobia anasema uamzi huo uliafikiwa baada ya kubainika mawaziri walihitaji wasaidizi kufanikisha majukumu ayo ipasavyo.

Show More

Related Articles