HabariMilele FmSwahili

Vyuo vikuu 6 vyapokea manaibu chansela wapya

Vyuo vikuu sita vimepokea manaibu chansela wapya. katika mabadiliko yaliyotekelezwa na serikali Paul Wainaina ameteulowa naibu chansela wa chuo kikuu cha Kenyatta, huku Daniel Njiru akitwaa wadhifa huo katika chuo kikuu cha Embu.. Samwel Gudu ni naibu chansela wa chuo cha Rongo naye Lucy Irungu akichukua usukani katika chuo kikuu cha Machakos.

Show More

Related Articles