HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sonko aamuru kuondolewa kwa ‘Chokoraa’ jijini Nairobi

Kizaazaa kilizuka hapa jijini Nairobi baada ya maafisa wa kaunti  kuanzisha msako mkali wa kuwatia mbaroni vijana wanaorandaranda jijini ambao wameshutumiwa kwa kuchangia pakubwa katika utovu wa usalama .
Maafisa hao walikuwa na wakati mgumu kuendeleza shughuli hiyo  baada ya baadhi ya vijana hao kuzua rabsha wakipinga kuondolewa kwao jijini.

Show More

Related Articles