HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kampuni ya Nation yaomba msamaha kuhusu tangazo la kifo gazetini la Jimmy Wanjigi

Kampuni ya Nation Media Group imeomba msamaha baada ya tangazo la kifo kuchapishwa kwenye gazeti la leo la Daily Nation, likidai kifo cha James Richard Wanjagi ambaye ripoti iliyochapishwa hapo ilikuwa sawia na ripoti inayomhusisha mwanabiashara na mwandani wa muungano wa NASA Jimmy Wanjigi.
Jina lilioandikwa hapo kwenye tangazo ni Wanjagi huku majina ya familia na watoto na pia nyumbani anapoishi mwanabiashara Jimmy Wanjigi yakifana na hayo yaliyopishwa.

Show More

Related Articles