HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Serikali yasema Miguna ni raia wa Canada na amekuwa nchini bila kibali

Waziri wa usalama Dkt.Fred Matiang’i amedhibitisha kwamba yeye ndiye aliyeamrisha kufurushwa kutoka nchini kwa wakili Miguna Miguna hadi nchini Canada.

Taarifa iliyoamrisha kufurushwa kwa Miguna na ambayo ilitiwa sahihi na Waziri Matiang’i, imesema miguna  alikuwa hapa nchini kwa njia haramu.

Miguna ambaye alifurushwa jana usiku amesema haki zake zimehujumiwa pakubwa na yuko tayari kwa makabialino makali mahakamani.

Show More

Related Articles