HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

NASA itaendelea na mikutano ya mabaraza ya wananchi kote nchini

Muungano wa upinzani NASA umesema kuwa utakuwa unakamilisha mchakato wa kusaka maoni kupitia kwenye mabaraza ya wananchi mwezi huu wa Februari kabla ya kuandaa kongamano kuu la kuhakiki mwelekeo ambao maoni yatakayoibuliwa utachukua.

Kamati kuu iliyotwikwa jukumu hilo imeelezea kuwa kuna mpango wa kuandaa kura ya maoni pindi tu baada ya kongamano hilo la kitaifa na NASA imesisitiza kuwa Agosti mwaka huu ni sharti kura mpya ya urais iandaliwe.

Show More

Related Articles