HabariMilele FmSwahili

Serikali kutoa maelezo kuhusu tukio la kusafirishwa kwa Miguna Miguna hadi Canada

Serikali inatarajiwa kutoa maelezo kuhusiana na tukio la kusafirishwa hadi Canada mwanasiasa Miguna Miguna. Katika ujumbe kupitia mtandao wa Twitter msemaji wa wizara ya usalama Mwenda Njoka Miguna alikosa kufuata njia za kisheria kupata uraia wa Kenya. Wakili wake Nelson Havi Miguna amesema mawakili watarejea mahakamani leo kulalamikia hatua dhidi ya Miguna.

Show More

Related Articles