HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Geoffrey Mulusu anatumia magurudumu kuukuu kutengeneza ‘Akala’

Kazi yake ni kununua magurudumu kuukuu ya magari na kuyatumia kusaka riziki yake.

Geofrey Mulusa mwenyeji wa Lurambi kaunti ya Kakamega, amekuwa akitengeneza ndara ukipenda akala kama wanavyosema vijana kwa muda wa miaka kumi sasa.

Basi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, Joab Mwaura, anamwangazia Mzee Mulusa ambaye tairi kuukuu kwake ni furaha japo kwa wenye magari hazina maana.

Show More

Related Articles