HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Taarifa kinzani zinaenezwa Garissa ili kuwashinikiza wasichana kukeketwa

Wasichana  wengi  katika  jamii  zinazofanya  ukeketaji wa wasichana wao  huwarai  wasichana  wenzao kushiriki  tamaduni  hiyo  kwa madai kuwa  ni  ishara  ya  ujasiri  na  kuingia utu uzima.

Lakini  katika  jamii  ya  wasomali inayoishi katika  eneo la Kamuthe  kaunti  ya  Garissa wasichana  huelezwa kuwa ukeketaji ni jambo ambalo linakubalika katika dini ya kiislamu.

Nancy Onyancha  alizuru kaunti hiyo ya Garissa eneo la Kamuthe  na  akatuandalia taarifa ifuatayo ya jinsi viongozi  wa  dini  ya kiislamu katika eneo hilo wanavyopinga vikali aina ya ukeketaji inayotekelezwa kwa wasichana wa kisomali.

Show More

Related Articles