HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mahakama kuu ya Milimani yaamuru polisi kumwachilia Miguna

Hatimaye mwanasiasa na kiongozi wa vugu vugu la NRM Miguna Miguna ameachiliwa baada ya kuzuiliwa kwa siku nne katika vituo tofauti vya polisi.
Haya yalijiri katika mahakama ya Milimani Nairobi baada ya Miguna Miguna kukataa kujibu mashtaka katika mahakama ya Kajiado alikofikishwa mapema hii leo huku Jaji Edwin Mulochi akiamuru awasilishwe Nairobi.

Show More

Related Articles