HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wiper yataka majadiliano ya kina baina ya vyama tanzu vya muungano

Migogoro inazidi kuuandama muungano wa upinzani NASA, hasa baada ya uapisho wa kinara wao Raila Odinga wa Januari tarehe 30 mwezi Januari.

Chama cha Wiper hii leo baada ya mkutano wa viongozi wake wa baraza kuu la kitaifa, kimeafiki kuwa ni sharti majadiliano ya kina yaandaliwe haraka iwezekanavyo iwapo nyumba ya NASA inataka kusalia imara.

Show More

Related Articles