BiasharaMilele FmSwahili

Serikali yaafikia 80% ya kupunguza matumizi ya mifuko ya plastiki nchini

Serikali imeafikia asilimia 80 ya malengo yake ya kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki nchini. Katibu wa wizara ya mazingira Julius Sunkuli hata hivyo amedokeza kuwa mamlaka ya uhifadhi mazingira NEEMA bado inakumbwa na changamoto za baadhi ya wafanyibiashara kukaidi amri hiyo. Aidha amesema wizara hiyo itatoa mwongozo mpya kuhusiana na utengezaji na matumizi ya chupa za plastiki ifikiapo aprili 30 mwaka huu.

Show More

Related Articles