HabariMilele FmSwahili

Wenyeji Kisumu washiriki maandamano kushinikiza kuachiliwa huru kwa Miguna Miguna

Baadhi ya wenyeji wa kaunti ya Kisumu wanshiriki maandamano kushinikiza kuachiliwa huru mwanasiasa Miguna Miguna. Wakiongozwa na spika wa bunge la Kisumu Onyango Oloo wenyeji hao wanadai haki za kimsingi za Miguna zimekiukwa kwani amezuiliwa kwa muda bila kufikishwa mahakamani huko Migori hali ni sawia wenyeji wakidai kuna haja ya kuheshimwa sheria za nchi na akizungumza huko Kisumu mwenyekiti wa chama cha mawakili LSK Issac Okero anasema chama hicho kitasimama kidete na Miguna hadi pale atakapoachiliwa huru

Show More

Related Articles