HabariPilipili FmPilipili FM News

Kaunti Ya Mombasa Yatajwa Kuwa Kaunti Yenye Dhabiti Ya Usambazaji Wa Umeme

Kaunti ya Mombasa ni miongoni mwa maeneo humu nchini yenye dhabiti wa usambazaji wa nguvu za umeme nchini.
Waziri wa kawi Charles Meter amesema huduna hiyo itaboreshwa zaidi baada ya kumalizika kwa ujenzi wa kinu cha kawi katika bwawa la Sinya.
Akihutubia kamati ya kawi ya bunge LA kitaifa Keter amelitaka bunge LA kitaifa kupitisha misuada husika ya kawi Kuhakikisha maeneo ambayo hayana kawi nchini yanapata nguvu za umeme.
Naye mbunge wa Igembe amelishtumu shirika LA usambazaji wa nguvu za umeme nchini KPLC kwa kukosa kusambaza nguvu za umeme katika maeneo mengi nchini.
Amesema kuna maeneo nchini ambayo yako nchini ya mradi wa Rural electrification RE ambayo sasa ni mwaka wa tano hayajapata umeme.

Show More

Related Articles