HabariPilipili FmPilipili FM News

Samboja: Nitahakikisha Taita Taveta Inaboreka Licha Ya Upinzani Mkali.

Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Granton Samboja amezindua ripoti ya maendeleo ya kaunti hiyo ya mwaka 2013 – 2017.

Akiongea mjini Wundanyi Samboja amesema watahakikisha kaunti ya TAITA Taveta inaboreka licha ya kukabiliwa na upinzani mkali.

Wakati huo huo ameshukuru jopo kazi alilobuni kuendeleza uchunguzi na kukamilisha ripoti hiyo.

Samboja amemuaru katibu wa fedha kaunti hiyo kuongoza shughuli ya kufanyia thibitisho mikataba yote ya kaunti hiyo pamoja na stakabadhi zote zinazohusiana na masuala ya fedha.

 

Show More

Related Articles