BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Sauti sol wa futilia Mbali Mkataba na kampuni Moja Ya Kutegeneza Video

Kampuni hiyo inadaiwa kuagiza wana mitindo kutuma ombi la kuhusishwa katika video moja ya wana sauti sol ambayo ilikuwa inatrajiwa kufanyika leo tarehe tano februari.

Aidha waliochaguliwa kushiriki katika video hiyo walitumiwa barua pepe , ikiwaarifu kwamba kampuni hiyo haikuwa imepanga  kuwalipa  ila wenye nia ya kishiriki wata pewa nauli, chakula cha mchana na pia kuwasaidia kupata umaarufu zaidi.

Baadaye sauti sol walichapisha ujumbe kupitia mitandao yakijamii wakikashifu kauli hiyo, wakitaja kuwa yeyote atakaye husika katika mradi huyo sharti alipwe, huku wakilazimika  kuvunnja mkataba na kamuni hiyo.

 

Swala hili limezua hisia mseto mtandaoni huku wengi wakisimulia vile kampuni za kurekodi video pamoja na wasanii huwahusisha katia kazi zao kisha kuwatelekeza.

 

 

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.