HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika : Tunamtambua Evelyn Mungai, mchoraji mkongwe wa mitindo ya nguo

Katika makala ya Wasiotambulika hii leo tunamwangazia mama mmoja mkongwe ambaye maishani mwake amekuwa katika mstari wa mbele kuwakuza kina mama kujiendeleza kibiashara na kujisimamia kifedha.

Evelyn Mungai alikuwa mwanamke wa kwanza Afrika kujiunga na kundi la wafanyibiashara barani Africa miaka ya 70 almaarufu, African Business Round Table.
Kando na hayo, Bi Mungai ametembelea nchi kadha duniani akikutana na viongozi tajika haswa marais akitafutia kina mama kutoka Afrika nafasi za kibiashara.
Dennis Matara, amekuandalia taarifa ya mama huyu mwenye bidii kwenye makala, Wasiotambulika.

Show More

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.