HabariMilele FmSwahili

Miguna Miguna asema yuko tayari kutiwa mbaroni

Wakili na mwanachama wa kundi haramu la NRM Miguna Miguna sasa anasema yuko tayari kutiwa mbaroni. Katika mkao na wanahabari katika afisi za Okoa Kenya,Miguna anakubali alihusika pakubwa katika kuandaa hafla ya upinznai katika bustani ya Uhuru.

Show More

Related Articles