HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Polisi waagiza NTSA kusalimisha vifaa vya kazi kama vipima ulevi

Mamlaka ya usafiri na usalama barabarani NTSA imeamrishwa kuwarejesha maafisa wote wa polisi waliokuwa wametumwa kufanya kazi katika mamlaka hiyo na kusalimisha vifaa vyote vya kazi kama vile vifaa vya kupinga kiwango cha ulevi almaarufu alcoblow kwa maafisa wa polisi wa trafiki.
Hii ni baada ya rais kuamuru NTSA kuondoa huduma zake barabarani na kuwaachia kazi hiyo maafisa wa polisi wa trafiki.

Show More

Related Articles