HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wahanga wa moto kijijini Southlands wazidi kukadiria hasara kuu

Zaidi ya familia elfu sita zilizoathirika kufuatia mkasa wa moto eneo la ‘Kijiji’ mtaani Lang’ata siku ya Jumapili, zinaendelea kupokea msaada katika shule ya msingi ya ngei mtaani humo.
Mashirika mbali mbali pamoja na wahisani wa yameendelea kutoa msaada kwa waathiriwa hao huku hatima yao bado ikiwa haijulikani.

Show More

Related Articles