BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Timmy Na Otile Walimana Ngumi Na Mateke

Wawili hao walikuwa wame hudhuria Party iliyokuwa imeandaliwa na mwana muziki Venessa Mdee siku ya jumapili usiku .

Wengine walio hudhuria hafla hiyo ni Juma jux, Prezzo, Shaffie Weru, na Habida.

Inafahamika kuwa Otile ali toka nje kuzungumza na simu na alipo rudi, ndipo vita vilianza kati yao. Ilibidi Shaffie na Prezzo waingilie kati kuwatenganisha.

kufikia sasa haijabainika ni nini chanzo cha vita  hivyo.

Show More

Related Articles