K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanamke aliyeshambuliwa kwa asidi na mumewe Kiambu afariki

Polisi katika kaunti ya Kiambu wanamzuilia aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Satellite Dagoretti Samuel Ndung’u almaarufu ‘jua kali’ kwa mashtaka ya kumuua aliyekuwa mkewe Lucy Njambi kwa kumwagilia acid.
Samuel anadaiwa kuwatuma majamaa waliomteka nyara na kumbaka Lucy, kisha kumwagilia acid usoni kwa madai ya kumuacha mumewe.
Lucy alifariki hii leo katika hospitali ya Kenyatta alipokuwa akipokea matibabu..

Show More

Related Articles