HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais Kenyatta ahahamisha baadhi ya mawaziri kuwa mabalozi

Wakati huo huo ni afueni kwa mawaziri waliokuwa hawajatajwa kwenye awamu ya kwanza ya matangazo ya baraza la mawaziri kwani hakuna waziri aliyetemwa nje ila wamefanyiwa mabadiliko na kuwekwa kwenye wizara tofauti huku wengine wakipewa jukumu la kuwa mabalozi.
Haya yanajiri huku baraza hilo na serikali ya rais Uhuru Kenyatta kwa ujumla likionekana kuwahusisha wanasiasa wengi zaidi ya ilivyokuwa hapo awali.
Daniel Kariuki anatuarifu ni nani amendelea kuwa waziri nani balozi na baadhi ya wanasiasa ambao wamejiunga kwenye serikali.

Show More

Related Articles