BurudaniPilipili FmPilipili FM News

D’banj Kutoka Nigeria Kutumbuiza Hapa Nchini Wiki Ijayo

Msanii maarufu wa mziki wa afro pop kutoka nchini Nigeria D’banj atawasili hapa nchini wiki ijayo kutumbuiza katika hafla ya kuzindua majina 158 ya watangazaji wa radio na tereviseni ambao wameteuiliwa kushiriki katika tuzo za Radio and Television Personalities .

Hafla ya kuwa tunza  washindi itafanyika julai tatu mwezi ujao hapa nchini kwa mara ya kwanza awali ilikuwa ikifanyika nchini Ghana pamoja na nchi ya Nigeria.

Show More

Related Articles