BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Filamu ya Kenya “Watu Wote”  yateuliwa katika Tuzo za Oscar

 

 

Filamu hii  fupi inaangazia tukio la kigaidi lililohusisha basi ya usafiri wa uma  ambapo waislamu walilinda Wakristo dhidi ya kushambuliwa na wanamgambo wa Al Shabaab. Kisa hicho kilifanyika tarehe 22, Decemba 2015

“Watu Wetu”  iliundwa mwaka wa 2016 kama mradi wa mwisho wa darasa la Shahada ya uzamili katika chuo cha Hamburg Media School mwaka wa 2016

Wakenya ambao wameigiza katika filamu hiyo ni pamoja na Delyne Wairimu, Abdiwali Farrah, Faysal Ahmed, Barkhad Abdirahman, Charles Karumi na Justin Mirichii.

Filamu hiyo pia imewahi tunukiwa kama filamu bora ya wanafunzi  katika tuzo hiyo ya Oscar

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.