BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Mtoto Wa Mama Apania Kufungua Makao Ya Watoto Yatima

Bahati  aliyekulia katika makao ya watoto  yatima huko jijini Nairobi baada ya mamake kufariki akiwa na umri mdogo,  apania kufungua makao ya kulelea watoto mayatima kwa  jina Bahati tena Foundation ambayo itafunguliwa mwezi machi mwaka huu, kama njia moja ya kukumbuka aliko toka

Katika ziara yake mjini kisumu Bahati alikutana na Alphones mmoja wa watoto wanao randa randa mjini humo ambaye alimuomba kuwa angependa kurudi shuleni jambo ambalo lilimhizunisha sana bahati na kuona upo umuhimu wakumtoa Alphones mtaani

” #MEETALPHONSE
TODAY I TOOK SOMETIME TO VISIT & SPEND WITH STREET KIDS IN KISUMU CITY; THIS IS WHERE I MET THIS YOUNG BOY WHO STOOD OUT; INSTEAD AITISHE KAKITU HE REALLY EXPRESSED HOW HE DESIRES TO GO BACK TO SCHOOL.”

Bahati pia anapania kufungua makao makuu ya EMB Records ambapo ametangaza kuwa itakuwa na hadhi za kimataifa

Show More

Related Articles